Advertisements

Saturday, July 30, 2016

IBADA YA MISA LUGHA KISWAHILI


Karibuni Sana Wapendwa kwa Ibada ya Misa Ya Kiswahili Baltimore.

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili. 
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)

901 Poplar Grove St, 
Baltimore, MD 21216, 

Jumapili Tarehe: Julai 31, 2016,
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).

Karibu sana na unaombwa kuwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.

Karibu pia kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe anwani.


Kwa niaba ya Fr. Honest Munish ni katibu Tibruss Minja.

No comments: