Advertisements

Wednesday, July 13, 2016

JAMAA ALIIBA MALIMAO 3 SIKU YA SIKUKUU YA IDDY, UNAAMBIWA AKAANZA KUNUKIA VIUNGO VYA PILAU IKAMBIDI AENDE KUOMBA MSAMAHA, ADHABU YAKE JE? NI FUNDISHO.


Bwana mmoja kutoka Tukuyu mkoani Mbeya, aliyefahamika kwa majina ya Akajapo Mwaikuyu, amelazimika kuubeba ukoo wake na kwenda kumuomba radhi mzee mmoja kijijini hapo kwa kuwa aliiba malimao matatu ya mzee huyo siku ya Iddy.
taarifa zinasema kuwa tangu siku hiyo mwili wake umekuwa ukitoa harufu kali ya viungo vya Pilau.

Akajapo Mwaikuyu alifanya uhalifu huo nyumbani kwa mzee mmoja kijijini hapo wakati mzee huyo na familia yake walikuwa wakiandaa kachumbari kwa ajili ya wali wao.

Ili kuweza kusamehewa na mzee huyo ametakiwa kulipa Debe 14 za malimao kama adhabu na mikungu kadhaa ya Ndizi.

1 comment:

Anonymous said...

kweli story hiii? kama kweli mbona balaaa.mwenyezi mungu mwingi wa rehma hamuoni tunamtendea mengi maovu lakini anatusamehe.sasa sisi binadamu tunajitia umungu mtu sio? what a shame