Advertisements

Thursday, July 21, 2016

MAZISHI YA SHEIKH KHAMIS SAID KHALFAN MAKABURI YA KISUTU, JIJINI DAR

Baadhi ya waombolezaji, wakishiriki ibada ya Mazishi ya Sheikh Khamis Bin Said Khalfan katika Makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Marehemu Sheikh Hamis Bin Said Khalfan  enzi za uhai wake.
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akimfariji mmoja wa wanafamilia ya Marehemu, Bw. Aboud Hussein mara baada ya mazishi katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Sheikh Hamis Bin Said Khalfan jijini Dar es Salaam.

No comments: