MSIBA DMV
Dada Kwizela Ntagazwa anasikitika kutangaza kifo cha mme wake kilicho tokea Frederick Court House, M. D., juzi Jumatano. Marehemu alifikiwa na umauti baada ya kuanguka kwenye "parking deck".
Kama ilivyo ada yetu waTanzania kutoa mkono wa pole. Msiba na taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwa Kwizela;
Address: 2032 Spring Run Circle, Frederick MD 21702
Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
Kwizela 1 (240) 602-5011
Bwana ametoa, bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe
1 comment:
R.I.P
Post a Comment