Advertisements

Thursday, July 21, 2016

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAMOSI TUBINGEN,UJERUMANI

written by Zainab Ally Hamis
Dar es salaam School of Journalism(DSJ)

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band yenye makao yake kule Ujerumani,wanatarajiwa kutingisha jukwaa katika maonyesho International Afrika Festival Tubingen litakalo fanyika jumamosi hii 16 Julai 2016 katika viwanja vya Fest platz Tubingen ,Ujerumani ya kusini ambapo wapenzi wa muziki watapata burani ya aina yake kutoka kwa bendi hiyo iliyofanikiwa kuwanasa washabiki kila kona duniani,kikosi cha Ngoma Africa band kinachoongozwa na mkuu wake mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda ras Makunja mkuu wa viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens kinadumu katika gemu la muziki kwa takribani miaka 23 sasa na kuwekwa katika rekodi ya kimataifa kuwa ndio bendi ya kiafrika inayodumu kwa muda mrefu barani ulaya.
usikose kuwasikiliza at www.ngoma-africa.com

wape Hi at www.facebook.com/ngomaafricaband

No comments: