Advertisements

Saturday, July 30, 2016

Reggae Time ya Pride Fm, Mtwara.....Julai 30 2016

"Jikoni"......Kilimanjaro Studios, Beltsville, Maryland
Kipindi cha REGGAE TIME ya Pride Fm, Mtwara, Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio kutoka Kilimanjaro Studios, Beltsville Maryland nchini Marekani. Leo tumeungana na Humphrey "OneMic" Muturi, Rozzie a.k.a Viola, Ali Badawy kujadili mambo kadhaa katika jamii yetu 
Karibu
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: