Advertisements

Monday, July 25, 2016

STARS UNITED YACHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA LIBERIA KUSHEREHEKEA UHURU WA NCHINI HIYO NC

Timu ya Stars united katika picha ya pamoja walipokua Durham, North Carolina wakicheza na Liberia katika mechi ya kirafiki kusherehekea uhuru wa nchini hiyo siku ya Jumapili July 24, 2014
Timu ya Liberia katika picha ya pamoja walipokua Durham, North Carolina wakicheza na Liberia katika mechi ya kirafiki kusherehekea uhuru wa nchini hiyo siku ya Jumapili July 24, 2014

Timu zikisalimiana
mpambano ukiendelea
Mpambano ukiendelea
Mpaka dakika 90 Liberia 4 Stars 2

No comments: