Advertisements

Monday, July 25, 2016

MISSY TEMEKE NA WASHIRIKA WAKE USO KWA USO NA DIAMOND PLATNUMZ STERLING VIRGINIA


Mr and Mrs Ameir wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa Bongo Flava anayekimbiza vibaya mno kwa sasa Afrika Mashariki Afrika na Dunia Diamond Platnumz ndani ya mgahawa Sterling Virginia wakati Diamond na crew yake walipokua wamesimama kwa muda uwanja wa ndege wa kimataifa.Dulles.
 Missy Temeke na washirika wake Mr and Mrs Ameir wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa Bongo Flava anayekimbiza vibaya mno kwa sasa Afrika Mashariki Afrika na Dunia Diamond Platnumz na Crew yake ndani ya mgahawa Sterling Virginia wakati Diamond na crew yake walipokua wamesimama kwa muda uwanja wa ndege wa kimataifa.Dulles.
 Missy Temeke na Diamond Platnumz

3 comments:

Anonymous said...

SO WHAT??? Vijimambo really? Is this the news to put in the blog? Hii blog inaanza kubowa sasa..... Tuwekee habari zenye tija na jamii. Kukutana na Diamond ni jambo la kawaida kabisa nilidhani kulikuwa na show huko Virginia...

Anonymous said...

Acha wivu.Nice pictures

Anonymous said...

Aunt Asha jamani mbona simuoni?