Advertisements

Monday, July 18, 2016

UKODAK MOMENT WA DMV OLD FRIENDS REUNION PARTY

Coctail party ya DMV Old Friends ikiendelea siku ya Jumamosi July 16, 2016 Ellicott City Maryland nchini Marekani.
Joha Nyang'anyi akipata ukodak moment.
Mwanakamati Joyce Mshana akipata picha ya kumbukumbu.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidiMambo ya Eddah na mapishi yake.

3 comments:

Anonymous said...

Imependeza sana. Hongereni

Anonymous said...

Nice Looking guys

Anonymous said...

Safi sana, imependeza sana, haya je mtafanya tena nyingine?