Advertisements

Friday, July 22, 2016

USIKU WA VITA "THE WEEKEND MIDNIGHT BATTLE"

Ungana nasi tena kwenye maombi ya Kukesha ya kila Usiku wa Ijumaa.

MAOMBI MAALU KWAAJILI YA FAMILIA.
● Amani Kwa Wanandoa .
● Amani kwa watoto na wazazi.
● Amani kati ya Ndugu na Ndugu.
● Amani kwa Jamii nzima na Taifa unaloishi.

Kupambana na Kuharibu Kazi za Shetani , Kutegua na kuvunja mipango yote Shetani anayotumia kutawanya familia na Taifa kwa ujumla.

Ili uweze kushinda hii VITA, lazima tuvae siraha zote za Mungu : (Waefeso 6:12-13)

Maombi yanaanza kila Ijumaa
●Time : 11:00 pm to 5: am
● USA-Eastern Standard Time (EST)

Prayer line🏾
DIAL Number: 218-548-2987
- Access Code: 912280 #.

Wote Mnakaribiswa.

No comments: