Advertisements

Tuesday, July 5, 2016

Watalii 2000 wasitisha safari ya kuja Tanzania kisa?

3 comments:

Anonymous said...

Ninaunga mkono mikakati ya sserikali ya kuongeza mapato. Lakini si afiki kitendo cha serikali kuongeza VAT kwa watalii.Hili ni kosa la kimkakati ambalo with time litaitafuna sekta ya utalii na eventually itatu cost a lot more ku recover.

Anonymous said...

Takwimu za serikali zinazungumza vingine kabisa katika suala hili.Nadhani serikali inajaribu kutafuta njia kuhakikisha inanufaika zaidi kuliko ilivyo sasa ambapo mawakala wa watalii na pengine wengi wao ni makampuni ya kigeni yakinufaika zaidi wakituacha watanzania na pesa ya mkate wakati ukweli ni kwamba tulistahiki kunufaika zaidi ya hapo nadhani serikali ya Magufuli ipo makini zaidi ikipigana kuhakikisha utalii unaleta tija zaidi Tanzania. Sina uhakika lakini kwa udhoefu utaona yakwamba mawakala wengi wa utalii wanatokea upande wa pili wa nchi yetu kwa hivyo tunatakiwa kuwa makini na baadhi ya propaganda.

Anonymous said...

acheni longolongo zenu lipeni kodi kuna mzungu gani anaye kataa kodi ikiwa wao ndio wanaongoza koutoaji kodi,maendeleo yao yote yanakuja na kodi