Advertisements

Wednesday, July 13, 2016

WAZIRI WA UTUMISHI WA ZANZIBAR MHE.HAROUN SULEIMANAKUTANA NA WAZIRI WA UTUMISHI NA UTAWALA BORA MHE.KAIRUKI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.


No comments: