Advertisements

Monday, August 8, 2016

BBQ FAREWELL YA MZEE LUCAS ILIYOFANYIKA MT VERNON NEW YORK YAFANA.

Mzee Lucas akitoa machozi siku ya BBQ ya kumuaaga iliyoandaliwa na marafiki zake wa karibu wa New York. BBQ hiyo ilisimamiwa  Mwanamkasi, Seif Akida  mafiki wa kushibana wa mzee Lucas ndani ya Community ya Watanzania wahishio New York. Mzee Lucas anarudi nyumbani Tanzania for good. Community ya Watanzania NEW YORK itamiss sana huduma yake ya mapishi pamoja na uchomaji nyama wa kiwango cha kimataifa. 
Hapa Al Haj Kibodya kutoka Springfield akiongea na ndiyo alikuwa msemaji kwenye shughuli hiyo
Mwakilishi wa balozi mama Mwingira akiongea jambo
Makamu mwenyekiti wa NYTC Gaston Mkapa akiongea kwa niaba ya Community
Ukodak pamoja na balozi na mkuu wa wilaya ya springfield Al Haj Kibodya. Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.

Mzee Lucas akitoa shukrani zake kwa wageni ndugu na marafiki
Mratibu wa shughuli mzima bwana Seif Akida akiongea
Kiongozi wa akina mama Sophia akiongea kwa niaba ya Twiga Ladies
Dr Temba rafiki wa mzee Lucas akiongea
Dj Bilal kama kawa nyuma ya machine 

Tembelea website hii kujionea picha zaidi.... ya jinsi mambo yalikuwa siku hiyo http://temba.photoshelter.com/portfolio/G0000RHuuJpGNVLY

No comments: