Advertisements

Wednesday, August 17, 2016

IBADA LUGHAA YA KISWAHILI. BALTIMORE.

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili kama ilivyo desturi. 
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward. 
St Edward Parish
901 Poplar Grove St, 
Baltimore, MD 21216, 
Jumapili Tarehe 28 August 2016, 
Saa nane kamili mchana (2:00 PM)​. 
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako. Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe anwani. 

Kwa niaba ya Fr. Honest Munish ni katibu Tibruss Minja

No comments: