Advertisements

Wednesday, August 17, 2016

MABALOZI NA WAWAKILISHI WA MABALOZI HAPA NCHINI WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA RAIS MSTAAFU MZEE ABOUD JUMBE MWINYI

Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Finland Bw. Simo Pekla Parvianen akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Bi. Monica Patricio Mussa akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Elitrea Bw. Saleh Azaril
Kaimu Balozi wa Burundi nchini Tanzania Bw. Pierre Ndayishimiye
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Angola Bw. Joel Cumbo. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Selikarini, Ofisi ya Makamu wa Rais.

No comments: