Advertisements

Saturday, August 20, 2016

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA SHAKILA SAID

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye mara baada ya kuwasili msibani kwa Bi. Shakila, Mbagala Chalambe.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa marehemu Shakila Said.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwafariji ndugu wa marehemu Shakila nyumbani kwa marehemu Mbagala Chalambe.
 Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Bi. Shakila Said
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza jambo na Issa Muhidin Michuzi kwenye msiba wa Bi. Shakila.
 Swala ya maalum kabla ya kwenda kuzika
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akishiriki dua maalum ya kumuombea Marehemu Shakila Said ambaye alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa Taarab nchini.
Mwili wa Marehemu ukipelekwa makaburini tayari kwa maziko.

No comments: