Advertisements

Sunday, August 28, 2016

MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AKABIDHI VIFAA VYA KAZI KWA JESHI A POLISI WILAYA YA ILEJE

 Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene akipokea Risala kutoka kwa Ocd Wilaya Ileje
 Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene, akikabidhi Laptop kwa OCD wa Wilaya ya Ileje kwa ajili ya kusaidia kazi katika Wilaya hiyo

 Mbunge wa Ileje , Mh Janet Mbene, akikabidhi Matairi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi  Wilaya ya Ileje Hamida Mbogo
 Mbunge wa Ileje, Mh. Janet Mbene akipokea mkono wa shukrani kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje  Joseph Mkude mara baada ya kukabidhi laptop, Photocopy Mashine, Matairi na limu tano.

No comments: