Advertisements

Friday, August 26, 2016

MEMORIAL SERVICE!!


Wapendwa ndugu na marafiki zangu. Tunawatangazia kuwa kutafanyika MISA kwa ajili ya msiba wa Mama mzazi wa mwana DMV mwenzetu,Dada Leah Nyakyi, siku ya Jumapili tarehe 28 August 2016.MAHALI

St Edwards Church,
901 Poplar Grove st,
Baltimore MD 21216
TIME: 2pm (Tafadhali zingatia muda)

DRESS CODE: CREAM COLOR

Kwa maelezo zaidi wasiliana na :
Justa Mutakyama 301-404-6529
Bernadetta Kaiza:301-704-5891
Joha Nyanganyi :240-813-5563
Catherine Mukami:240-481-0392
Hidaya Mahita:240-271-7799

No comments: