Advertisements

Saturday, August 6, 2016

MZEE LUKAS FAREWELL BBQ LEO HII NJOO UONYESHE UPENDO KIROHO SAFI KUTAKUWA NA CHAKULA, VINYWAJI SAMBAMBA NA DJ BILAL MUSIC.

NJOO NA TUFURAHI PAMOJA NA MZEE WETU,  MZEE  LUKAS  NI MZEE WA WATU MWENYE ROHO SAFI. NA SASA ANARUDI TANZANIA FOR GOOD,  NAJUA  WENGI WETU TUTAMMISS KWA UCHOMAJI NYAMA WAKE WENYE KIWAGO CHA TBC.

 SASA BASI KAMA WEWE UNAPENDA NYAMA ANAZO CHOMA MZEE LUKAS HUU NDIYO WA KATI WAKO WA KUONYESHA UPENDO  WAKO NA PIA NAFASI YAKO YA KULA NYAMA HIZO KWA KWANI ATACHOMA MWENYEWE KWA MIKONO YAKE.

RATIBA YA KUMUAGA MZEE LUCAS. 5:30 PM MC ATAFUNGUA KUSEMA KIDOGO KUHUSU MZEE LUCAS 5:45 MPAKA 7: PM(1) MUWAKILISHI WA UBALOZINI KUMUAGA MFAYAKAZI MWENZAO
(2) KIONGOZI WA JUMUIYA
(3) KIONGOZI WA TWIGA LADIES
(4)MZEE TEMBA
(5) KIONGOZI WA CCM
(6) UONGOZI WA JUMUIYA ULIO PITA
(7) LUCAS KUTOA SHUKRAN
(8)ZAWADI
SASA 7:PM CHAKULA NA MENGINEYO

::::ADDRESS NI::::
 30 OVERHILL RD, 
MT VERNON NY.

3 comments:

Anonymous said...

Vijimambo msisahau kumpiga picha kiongozi wetu mstaafu wa jumuiya asije lalamika

Your brothers from DC said...

Good luck brother Lucas, we wish you all the best.

Anonymous said...

Jumuiya mmefanya vizuri sana kumuaga huyu Mzee kwani niliongea akiagwa na Ubalozi nikawaza mbona alikuwa mhudumu wa jumuiya pia na sioni mipango yeyote. Kumbe mambo safi sana. Hii safi sana.