Advertisements

Saturday, August 6, 2016

Reggae Time ya Pride Fm......Aug 6 2016. Muziki na ziara Jamaica

Katika kipindi hiki, mbali na muziki, tumeungana na mwenzetu Rozzie ambaye yuko likizono huko Jamaica. Amekuwa mkarimu sana kutueleza mawili matatu kuhusu nchi hiyo ambayo ameitembelea kwa mara ya kwanza
Karibu usikilize
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: