Advertisements

Thursday, August 18, 2016

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKUTANA WADAU KUJADILI DHAMIRA YA SERIKALI KUPIGA MARUFUKU UTUMIAJI WA MIFUKO YA PLASTIKI.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Muyungi akifungua kikao cha Wadau kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastiki Nchini. Kilichoandaliwa na Idara ya Mazingira -Ofisi ya Makamu wa Rais. Aliyekaa kulia ni Mkuirugenzi Msaidizi Bi. Magdalena Mtenga
Sehemu ya Wadau waliohudhuria kikao cha kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastiki Nchini. Kikao hiko kimeandaliwa na Idara ya Mazingira – Ofisi ya Makamu wa Rais.
Mmoja wa Wadau waliohudhuria kikao hiko Bwana Joseph Wasonga kutoka kampuni ya Wande Packaging akitoa maoni yake wakati wa kikao hiko cha Wadau kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastic Nchini.
Mwanasheria wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Isaqwisa Mwamkonda, akitoa mada kwa Wadau waliohudhuria kikao hiko cha Wadau kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastiki Nchini .

1 comment:

Anonymous said...

Kwanza tatizo la uchafu wa mazingira Tanzania huchangiwa na vitu vingi na sio plasstic bags pekee.Vilevile ni vema Serilali ikajifunza kutoka katika nchi nyingi duniani zilizo chukua uamuzi wa ku-ban matumizi ya plastic bags then wakagundua haukuwa uamuzi sahihi na baadhi yao wakachukua maamuzi ya either kuweka kodi ya matumizi ya plastic bags au ku-incourage recycling programs .Serikali inatakiwa kuangalia tatizo la uchafuzi wa mazingira kama opportunity ya kumobolize investors kuwekeza katika miradi kama ya plastic,tire,paper recycling projects as well as biomass processing.ili kutoa ajira na serikali kuweza kupata kipato kupitia kodi.
total ban ya plastic bags haina tija kwa Tanzania ya leo.