Advertisements

Monday, August 1, 2016

PICHA 9 MAZISHI YA SENGA KIJIJI CHA SHUSHI WILAYA YA KWIMBA, MWANZA


 
Mwili wa aliyekuwa Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, Marehemu Joseph Senga ukiwekwa kaburini wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba, Mwanza. (Picha na Said Powa).
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mpigapicha Mkuu wa gazeti hili, marehemu Joseph Senga wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba, Mwanza.

No comments: