Advertisements

Friday, August 26, 2016

PITA PITA YA VIJIMAMBOBLOG MINNESOTA TWIN CITY


Joe ni kocha wa timu ya Swahili United FC ya Minnesota akiwa amepumzika nyumbani kwake Blaine city baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti. Licha ya kufanyiwa upasuaji ya goti joe yupo tayari kuongozana na timu yake hadi Kansas kwenye mchezo wao utakao fanyika siku ya Sept 4. Timu ya Minnesota imejiandaa vilivyo juu ya mchezo huo utakaokuwa wa kukata na shoka kati ya timu hizi mbili zenye upinzani mkali. Ukaodak wa Vijimamboblog ulimtembelea kosha huyo nyumbani kwake na kumtakia khali kiroho safi.


Kocha Joe akiwa na Captain wake Godfrey wakipata ukodak wa pamoja nyumbani kwake Blaine, Minnesota.


Godfrey ndiyo mwenyeji wa Vijimamboblog na alifanikisha  Vijimambo kufika nyumbani kwa kocha na kupatikana ukodak huu wa kosha Joe. Vijimamboblog inamuombea kupona haraka goti lake ili aweze kuungana na timu yake na  pia aweze kurudi kwenye afya njema kuendelea na maisha yake ya kila siku pamoja na familia yake pendwa.

No comments: