Advertisements

Saturday, August 27, 2016

TANGAZO LA MKUTANO KWA NJIA YA SIMU LEO JUMAMOSI

Image result for conference call
Siku ya Jumamosi : August 27.
Kuanzia saa tano asubuhi (11am), na kuishia saa sita mchana (Noon).

Tutakuwa na mkutano kwa njia ya simu.

AGENDA: SHULE NA MAZINGIRA
TANZANIA

Namba ya Conf: (712) 775-7035
Code: 285949

WAONGEAJI WAKUU:

-Jina kamili: Deusdedith Rugemalila.
Taaluma: Ecologist
Mtambuzi wa shule zilizo Haribika
Volunteer wa JENGA katika Elimu

-Jina kamili: Prof. Shaaban Fundi
Taaluma: Education and curriculum
Mthibiti na mtambuzi wa Elimu
Volunteer wa JENGA katika Elimu

Mkutano huu utaendeshwa na Uongozi wa JENGA Tanzanian Foundation.

Watanzania wote mnakaribishwa.

Ahsante sana

JENGA Tanzanian Foundation

1 comment:

Anonymous said...

Magufuli ashasema anajenga Tanzania ya Viwanda uchumi unakua. Na pili kawaasa wakinamama kufyatua totos kwa wingi. Kina bababhakunankulala nje tena. Sasa hii Jenga Tanzania Foundation ya nini? Hela za nje hazihitaji? Milioni 50 zishaanzapekelwa kazi hewa.! Pazia.