Advertisements

Wednesday, August 24, 2016

TANZIA DMV

Mzee Joel Lugendo enzi ya uhai wake


Familia ya Lugendo inasikitika kutangaza kifo cha Mzee Joel Lugendo kilichotokea Leo saa 9 mchana katika hospitali ya Washington Adventist, Takoma Park, Maryland.
Mwili wa marehemu bado unafanyiwa uchunguzi (autopsy) na itachukua si chini ya siku Tatu au zaidi kupata majibu.
Mahalia pa msiba mtatangaziwa kesho
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
1. Lilian Morgan
2. Samuel Mushi
Bwana ametoa, naye kachukua Jina lake lihimidiwe
Amina

1 comment:

Anonymous said...

Mweeeeeeee huyu baba mweeeee kapatwa nanini eeh mungu wangu, mpokeee mja wako, apumzike kwa aman.daa