Advertisements

Sunday, August 28, 2016

TUMAINI NA ERIN WAKIFUNGISHWA NDOA NA MCHUNGAJI MWALININOMchungaji Mwalinino akiwaombea Tumaini na mke wake baada ya kufungisha ndoa, Mchungani aliwafungisha ndoa hiyo nyumbani kwa Tumaini na siyo kama ilivyozoeleka na wengi ndoa hadi kanisani. 
Bibi harusi akipata ukodak na marafiki wa mume wake 
Marafiki  wa Tumaini wakipata ukodak 
Marafiki wa Tumaini pamoja  na famili ya mke  wakishuudia ufungwaji wa ndoa hiyo, Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
Wachomaji nyama wakiwa kazini 

No comments: