Advertisements

Thursday, August 18, 2016

WAZIRI CASTICO AENDELEA NA ZIARA YAKE PEMBA

WAZIRI wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe:Maudline Cyrus Castico, akiangalia mabilingani yaliyolimwa na wanakikundi cha Vijana wa Utandawazi Chokocho, wakati alipofanya ziara ya kutembelea kikundi hicho kwenye ziara yake ya Siku mbili Kisiwani Pemba
WAZIRI wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe:Maudline Cyrus Castico, akiangalia mabilingani yaliyolimwa na wanakikundi cha Vijana wa Utandawazi Chokocho, wakati alipofanya ziara ya kutembelea kikundi hicho kwenye ziara yake ya Siku mbili Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments: