Advertisements

Tuesday, August 16, 2016

WAZIRI WA ULINZI WA CANADA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM

 Picha namba 2469 JPG, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia), akimkabidhi zawadi ya Nembo ya JWTZ Waziri wa Ulinzi wa Canada, Mhe. Harjit Singh Sajjan (kushoto) ofisini kwake Makao Makuu Upanga jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ulinzi wa Canada Mhe. Harjit Singh Sajjan (kushoto) akifurahia zawadi ya Kinyago alichokabidhiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) alipomtembelea ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam.

No comments: