Advertisements

Sunday, August 14, 2016

YANGA YATOA GUNDU YASHINDA 1-0

Straika mpyawa Yanga, Obrey Chirwa (katikati) akiwatoka wachezaji wa Mo Bejaia.
Kikosi cha Mo Bejaia wakipasha kabla ya mechi.
Kikosi cha Yanga wakipasha kabla ya mechi.

TIMU ya Yanga imeshinda bao 1-0 dhidi ya Mo Bejaia ya Algeria katika Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kufikisha point 4. Bao la Yanga limefungwa kipindi cha kwanza Dakika ya pili na Amissi Tambwe.

Kikosi cha Yanga SC; Deo Munishi ‘Dida’, Juma Abdul/Said Juma ‘Makapu’ dk46, Mwinyi Mngwali, Andrew Vincent ‘Dante’/Kevin Yondan dk17, Vincent Bossou, Mbuyu Twite, Simon Msuva, Thabani Kamusoko, Amissi Tambwe, Obrey Chirwa na Deus Kaseke/Juma Mahadhi.

MO Bejaia; Chamseddine Rahmani, Ismail Benettayeb, Faouzi Rahal, Sofiane Khadir, Soumaila Sidibe, Zakaria Bencherifa, Mohamed Yacine Athmani, Morgan Betorangal, Sofiane Baouali, Amar Benmelouka na Kamel Yesli.

GPL

No comments: