Advertisements

Tuesday, September 13, 2016

CHANGIA MAAFA KAGERA


4 comments:

Anonymous said...

Serikali ya TAnzania ya JPM mbona tajiri? Wametumua kiasi kikubwa tu kipambana na UKUTA nchi nzima sasa hili la tetemeko mkoa mmoja tu limewatingisha. Kama msaada wana Bukoba na majirani walianza kuyoa mapema serikali.ikipiga hesabu za kuoeleka madaktari bingwa!! Kwani kipindupindu au ebola hiyo. Wapewe huduma muhimu. Zile za Magomeni kota zisitishwe kwanza wanaokuja kukaa bure miaka 5. Waathirika wa tetemeko kwanza!

Mwoce said...

Ondoa uchadema wako hapa kwenye mashalah muhimu. Kama huwezi kuchanga kaa kimya. Ni Utamaduni wetu kuchangiana.

Mwoce said...

Teacher ushabiki wa kisiasa kwenye maswala muhimu. Ni Utamaduni wetu kuchangiana. We kama huna hela kaa kimya. Sidhani kama walioathirika na tetemeko wataondoka comment yako.

Mwoce said...

Ondoa uchadema wako hapa kwenye mashalah muhimu. Kama huwezi kuchanga kaa kimya. Ni Utamaduni wetu kuchangiana.