Advertisements

Tuesday, September 13, 2016

EXCLUSSIVE:YUSUPH MLELA AWA TEJA


Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma..
Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na mdau anayeishi mitaa ya kinondoni zinadai jamaa gari limekaribia kuwaka.


Sio habari nzuri kama ni kweli, na naomba Mungu ziwe ni 'fununu' tu, ila ni vyema wenye taarifa zaidi mkatujuza mbivi au mbichi za fununu hizi ili tusaidiane kummulika jaama ikibidi na yeye 'apate msaada' mapema kabla haijawa too late..


I loved his works.. was a big fan.. Hapa Hemed, pale Mlela.. Kanumba alivyokuwa anawatumia kwa utengano mpk ikawa inaleta ladha kushindanisha yupi mkali zaidi..

No comments: