Advertisements

Friday, September 9, 2016

HASSAN MAAJAR TRUST YASHEREHEKEA MIAKA MITANO

Balozi Mwanaidi Maajar akiongea kwenye hafla ya Hassan Maajar Trust katika hotel ya Oysterbay siku ya Ijumaa Septemba 2, 2016 katika kusherehekea miaka mitano ya Hassan Maajar Trust tangia kuanzishwa kwake.
Mama Salma Kikwete akiongea kwenye hafla hiyo.
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba alipata wasaa wakuchangia mawili matatu kwenye hafla ya miaka mitano ya Hassan Maajar Trust iliyofanyika siku ya Ijumaa Septemba 2, 2016 katika hotel ya Osterbay.
Wageni waalikwa wakifuatilia wageni rasmi walipokua wakiongea.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidiNo comments: