Advertisements

Sunday, September 11, 2016

MISSY TEMEKE ALIVYOWAKILISHA KWENYE THE AFRICAN TRADE SHOW.

Kulia ni Missy Temeke  akipata picha na mdau akiwa kwenye The Afican Trade Show iliyofanyika Septemba 3, 2016 jimbo la California.
Missy Temeke katika picha ya pamoja na Balozi wa heshima, Bwn. Ahmed Issa
Kutoka kushoto ni Missy Temeke , nguli la mitindo Asya Idarous na Auty Asha.
Kutoka kushoto ni Aunty Asha, Balozi wa heshima, Bwn. Ahmed Issa na Missy Temeke.


Missy Temeke na Aunty Asha wakipata picha walipotembelea kampuni ya umeme ya Davis iliyopo chuo kikuu cha California.
Missy Temeke licha ya kufanya shughuli zake za fashion show uko California pia 
ALIIPATA TOUR KTK KIWANDA CHA WINE Robert Mondavi Institute for Wine and Food Science IN SACRAMENTO, CALIFORNIA.


4 comments:

Anonymous said...

Alikwenda kumuwakilisha nani?

Anonymous said...

Kumbe alitumwa

Anonymous said...

Hivi jina lake halisi huyu missy temeke ni nani? Au hilo ndilo jina lake?

Anonymous said...

Anaitwa Hamisa Ahmed