Kulia ni Missy Temeke akipata picha na mdau akiwa kwenye The Afican Trade Show iliyofanyika Septemba 3, 2016 jimbo la California.
Missy Temeke katika picha ya pamoja na Balozi wa heshima, Bwn. Ahmed Issa
Kutoka kushoto ni Missy Temeke , nguli la mitindo Asya Idarous na Auty Asha.
Kutoka kushoto ni Aunty Asha, Balozi wa heshima, Bwn. Ahmed Issa na Missy Temeke.
Missy Temeke na Aunty Asha wakipata picha walipotembelea kampuni ya umeme ya Davis iliyopo chuo kikuu cha California.
Missy Temeke licha ya kufanya shughuli zake za fashion show uko California pia
ALIIPATA TOUR KTK KIWANDA CHA WINE Robert Mondavi Institute for Wine and Food Science IN SACRAMENTO, CALIFORNIA.
4 comments:
Alikwenda kumuwakilisha nani?
Kumbe alitumwa
Hivi jina lake halisi huyu missy temeke ni nani? Au hilo ndilo jina lake?
Anaitwa Hamisa Ahmed
Post a Comment