Advertisements

Friday, September 2, 2016

MISSY TEMEKE KUTOKA WASHINGTON DC KUKINUKISHA,KATIKA SHOW YA THE AFRICAN TRADE SHOW

Missy Temeke (kulia) akiwa na Aunty Asha mara tu walipowasili LA siku ya jana Alhamisi Sept 2, 2016
Taarifa mpya kwa wadau wa mitindo na fashion + vyombo vya habari inasema hivi, Kwetu fashion Kwa jina maarufu Missy TEMEKE kutoka Washington, D.C. anategemea kuiwakilisha Tanzania kwa kuonesha mitindo yake katika jukwaa kubwa la biashara nchini Marekani katika mji mkuu wa California, Sacramento.

Show hiyo inatambulika kama 'The African Trader Show', Tamasha litafanyika siku 3 kuanzia Tarehe 2 mwezi wa 9/2016 - 4/9/2016. Mbali na Asya pia Mr. Yasin Kapuya atawakilisha Tanzania kwa kutoa mada na kuonesha ufundi wa kazi zake katika onesho hilo. Hivyo ndugu jamaa na marafiki + Watanzania kwa ujumla tunapaswa kutoa ushirikiano wadhati kwa Wanzanzania hao. Asanteni.

No comments: