Advertisements

Friday, September 9, 2016

MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS WAPATA AJALI

Watu 4 wamejeruhiwa katika msafara wa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan baada ya gari moja kuanguka huko Nanguruwe wakati wakitoka mtwara kuelekea Tandahimba.
Majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, Ligula.

 Chanzo: Radio one

No comments: