Advertisements

Monday, September 12, 2016

WATANZANIA WA MASSACHUSETTS NA MIJI YA JIRANI WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MAZISHI YA MARAHEMU KHADIJA YALIYOFANYIKA BOSTON SIKU YA JUMAPILI.


Marehemu Khadija Juma wa kati wa uhai wake.
Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi Rajiun
Allahuma ghfirlaha wa rahamha wa Maskana filjanna, Mungu awape familia yake subra na stahamala.
Watanzania wakishuudia kuifadhiwa mwili wa mpendwa wao Khadija kwenye nyumba ya milele kwenye makaburi ya Baker Street Roxbury. MA
Kwa picha zaidi nenda kwenye soma more


   
 Akina mama wakizindikiza mwili wa mpendwa wao.

Rais wa DMV bwana Iddi akipata ukodak na wa Tanzania wengine kutoka New York na  Massachusetts.2 comments:

Anonymous said...

inna lillahi waina illahim rajiun.Allah amlaze mahali pema peponi bi Khadija na poleni sana wafiwa wote.naomba kuliza hivi waislamu wanawake wanaruhusiwa kwenda mazikoni na kuzika sambamba kukaa bega kwa bega na wanaume.samahanini kama nitakuwa nimekukoseeni nauliza tuu nipate kuilmika.ahsanteni kwa kila atakaye nijibu.

Anonymous said...

Wewe ni mkristu au muislam? Maana nimeona umeandika maneno ya Quran. Kama ni muislam utakuwa unaelewa sheria za dini. Na kama ni mkristu lbd utasaidiwa kujuzwa. Ila mimi ninajua wanawake waislam huwa hawaendi makaburini wanaishia nyumbani.