Advertisements

Saturday, September 3, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA MUHANS - MLOGANZILA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watalaam na wajenzi wa Chuo wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam Septemba 2, 2016. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza taarifa kuhusu ujenzi wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Ephata Kaaya wakati alipokagua ujenzi huo eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam Septemba 2, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam Septemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua jiko wakati alipolea eneo ilipojengwa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam Septemba 2, 2016. Watatu kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako na kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Ephata Kaaya. . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitaza mashine ya CT Scanner wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam Septemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ufungaji vifaa vya tiba wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa Chuo wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam Septemba 2, 2016. Kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa, Ephata Kaaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiondoka baada ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam Septemba 2, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Humphrey Polepole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: