ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 30, 2016

DIANA EDWARD AIBUKA MSHINDI WA MISS TANZANIA 2016.

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wanachi mara baada ya kuvishwa taji la Miss Tanzania 2016.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward  katikati akiwa na mshindi wa pili na watatu Grace Malikita na Maria Peter mara baada ya Msindi wa shindano la Miss Tanzania 2016 kutangazwa Mshindi jijini Mwanza. Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii, Mwanza.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwa na washindi watano wa kwanza katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward kushoto akiwa na wenzake wakati wa Kunesha Vazi la ubunifu wakati wa kusaka mshindi wa Miss Tanzania 2016 jijini Mwanza.




Mamiss Tanzania 2016 wakionesha Mavazi yao ya ubunifu wakti wakati wa Kusaka Mshindi wa Miss Tanzania 2016 katika viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.


Washindani wa Mamiss Tanzania 2016 wakiburudisha Jamii waliohudhulia wakati wa kumsaka Miss Tanzania 2016 jijini Mwanza.

Mamiss Tanzania wakionesha Mavazi ya Ufukweni wakati wa kushindania nani ni nani katika shindano la Miss Tanzania 2016 yaliyohitimishwa katika viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.
Burudani ikiendelea  ikitumbuizwa na msaaniioka kutoka jijini Mwanza.
Msheereshaji akifanya yake.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura ambaye ndiye Mgeni Rasmi wa siku ya Kuhitimisha Mashindano ya Miss Tanzania kwa 2016 akiangalia mashindanohayo jinsi yanavyoendelea kufanyika katika Viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.

Madam Wema Sepetu hakusita kufika katika Mashindano ya Miss Tanzania 2016 jijini Mwanza.

Baahi ya u waliojitokeza katika Hitmisho la Miss Tanzania 2016 jijini Mwanza.
Gari la zawadi ya Mshindi wa Miss Tanzania 2016.


Mamiss Tanzania wakionesha mavaji ya jioni.
Tano Bora.
Kumi na Tano bora ya Miss Tanzania 2016.

Top 5 wakiwa katika pozi.

Meza ya Majaji.
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu akizungumza wakati wa hitimisho la Mashindano ya Miss Tanzania 2016 mara baada ya kuombwa na wananchi wa jijini Mwanza apande jukwaani.


Mshindi wa Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima akizungumza machache kabla ya kukabidhi Taji la Miss Tanzania kwa mshindi wa 2016, Diana Edward.
Mshindi wa Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima akiwa katika picha ya Pamoja na washindi watano wa kwanza kabla ya kutangazwa washindi watatu wa kwanza.
Mshindi wa Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima akimvisha Taji la Miss Tanzania  mshindi wa 2016, Diana Edward mara baada ya kuibuka mshindi wa Kinyang'anyiro hicho.

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura  akimkabidhi ufunguo Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward mara baada ya kuibuka Mshindi wa Miss Tanzania 2016.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura  akimpongeza Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward.

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwa amepozi katika gari lake.


Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akipongezwa.



Red Carpet ndivyo ilivyokuwa.



No comments: