Sherehe ya mdada Camila Joshua ya kutimiza miaka 13 yafana, sherehe hiyo ilifanyika jana jumapili ya tarehe 23 mwezi huu wa oktoba katika mji wa silver spring, Maryland.
pichani Camila akikata keki yake ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa akizungukwa na ndugu jamaa na marafiki zake.
katika picha juu na chini, Camila akiwa na ndugu jamaa na marafiki katika picha ya pamoja
Baba wa Camila, Bwana Joshua (kushoto) akiwa na baadhi ya wazazi waalikwa
Mama wa Camila (mwisho kulia),Bi Iska, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wazazi waalikwa.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment