Advertisements

Saturday, October 22, 2016

KUTOKA VOA SWAHILI: Zulia Jekundu S1 Ep 97: Kanye West, Jay Z, Frank Ocean, Chris Rock and Taylor Swift

Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo
Wiki hii sikiliza maamuzi juu ya kesi iliyowahusisha Kanye West, Jay Z na Frank Ocean. Pia mkataba mnono wa Chris Rock na alichofanya Taylor Swift. Pia, ndoa "mpya" huko Las vegas na mengine mengi
Kipindi cha Zulia Jekundu hutayarishwa na kutangazwa na mtangazaji Mkamiti Kibayasi wa Idhaa ya Kimataifa ya Sauti ya America (VOA) kutoka Washington DC.

No comments: