Advertisements

Saturday, October 22, 2016

Kipindi cha Reggae Time ya Pride FM Oct 22 2016....Domestic Violence

Photo Credits: emotionalabusehurts.wordpress.com
Katika kipindi cha Reggae Time wiki hii, niliungana na Viola na OneMic kuzungumza kuhusu mwezi huu unaohusu vurugu za kifamilia katika kuenzi mwezi huu.
KARIBU

Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: