Advertisements

Saturday, October 1, 2016

LETE MAONI YAKO JUU YA HII VIDEO


3 comments:

Anonymous said...

NI FEDHEHA KWA JESHI LA POLISI, KITENDO KAMA HICHI KIKEMEWE KWA VITENDO ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE, HII NI KITIA AIBU NCHI, HUYU MZUNGU TAYARI AMESHAPOST MALALAMIKO YAKE KWENYE FACEBOOK

Meki Ngoga said...

Hilo ni jipu jingine linasubiri kutumbuliwa

Anonymous said...

daah, Magufuli ana kazi sanaaaa. No ethics za kazi kabisaaaa, tena polisi. Ndo maana uhalifu unapeta.