Advertisements

Friday, October 14, 2016

MAMA WINNY CASEY APATA TUZO YA VIGOR NCHINI CANADA

Mama Winney Casey akipata picha ya kumbukumbu akiwa na tuzo ya. Vigor aliyotunukiwa Oktoba 9, 2016 Windsor, Ontario nchini Canada. Tuzo za Vigor ni tuzo za kimataifa zinazotolewa  kwa watu wanaojitolea kwa jamii ambzo huratibiwa na Queen Amina wakishirikiana na Chima Movie Empire. Mama Winney Casey ni mwanzilishi na mmiliki wa miss Tanzania USA pageant.
Mama Winney Casey akiwa katika picha ya pamoja

mama Winney Casey siku alipowasili Canada

No comments: