Advertisements

Thursday, October 27, 2016

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2016 YATANGAZWA YATIZAME HAPA

Serikali imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya Msingi Kwema ya mkoani Shinyanga

No comments: