Advertisements

Tuesday, October 18, 2016

Msiba DMV na Tanzania

Mzee Jerome Kassembe amefiwa na dada yake mkubwa, Mary Kassembe ambaye aliishi naye hapa Marekani miaka ya nyuma. Msiba upo 9775 Good luck Road #11 Lanham,MD 20706. Simu namba 301-794-7580 au 240-714-8665.

No comments: