Wabinti wa Atlanta wakiwa kwenye maandalizi ya chakula nyumbani kwa da Lila katika sherehe fupi ya kumuaga mama yake (Aunt Zabibu)
MC Rachel Udoba, akimkaribisha baba mwenye nyumba kaka Michael ambaye ni mme wa Da lila
Da-Lila akiwa na wageni kutoka Kenya
Watoto wakijidai
Marafiki wakipata msosi
Vinywaji vikiendelea
Waalikwa mbalimbali
Watoto wakipata menu
Wakaka wa Atlanta
Najat, Agnes, Ted, na Rachel
Aunt Zabibu(mama mzazi wa Da lila)
Aunt Mariam na Aunt Fatma
Mazungumzo ya hapa na palepale
Kakaz wa Atlanta wakiwa na nyuso za furaha
MC akimwaga cheche zake
No comments:
Post a Comment