Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika
Ikulu ya Kenya.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwenyeji wake, Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta, alipowasili Ikulu ya Kenya, Jijini Nairobi leo.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya, Mh. Willam Ruto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisali mbele ya kaburi la Muasisi
na Rais wa Kwanza wa Kenya Maremu Mzee Jomo Kenyatta
mara baada ya kuweka shada la maua katika eneo la katikati
ya jiji la Nairobi nchini Kenya mara baada ya kuwasili nchini
humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati wa dua
katika eneo la kaburi hilo la Muasisi na Rais wa Kwanza wa
Kenya Maremu Mzee Jomo Kenyatta jijini Nairobi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta wakati wa nyimbo za mataifa mawili
zikiwa zinapigwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la
heshima aliloandaliwa na Jeshi la Kenya mara baada ya
kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nairobi nchini
Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na
mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nairobi nchini
Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na ujumbe wake
katika mazungumzo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
pamoja na ujumbe wake katika Ikulu ya Nairobi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanahabari mbalimbali wa Kenya mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika
Ikulu ya Nairobi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo
ya nje wa Kenya Balozi Amina Mohamed mara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo
Kenyata nchini Kenya. PICHA NA IKULU.
1 comment:
Hongera Mh.Rais kwa kwenda kwa watani zetu wa jadi.binafsi nimependezwa na protocal ya picha kwa maana ya kuwapa nafasi viongozi bila muonekano wa wapambe wengine nyuma yao kwa kweli inapendeza sana. Kuna jambo la kujifunza kwenye itifaki ya upigaji picha. MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU NA WATU WAKE
Post a Comment