Advertisements

Friday, October 14, 2016

TOMMY FORD AFARIKI

ASPiRE Premiere Screening of "Magic in the Making"
Tommy Ford enzi ya uhai wake.

Mchekeshaji Tommy Ford aliyekuwa akicheza katika vipindi vya luninga vya Martin amefariki siku ya Jumatano Oktoba 12, 2016 katika hispitali ya Atlanta jimbo la Georgia nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 52.

Tommy Ford alikimbizwa hospitali siku ya Jumapili Oktaba 9, 2016 huku matalaka wake Gina Sasso akiwaomba mashabiki wake wamwombee,

Tommy Ford alishacheza katika vipindi vingi vta luninga zikiwemo sinema mbalimbali,

No comments: