Advertisements

Tuesday, November 8, 2016

CHAMA CHA.MAPINDUZI TAWI LA WASHINGTON DC VIRGINIA NA MARYLAND

Image result for chama cha mapinduzi
TUMEPOKEA KWA MSHTUKO MKUBWA NA MASKITIKO MAKUBWA HABARI YA KIFO CHA MZEE SAMWELI SITTA
AMBAYE AMELITUMIKIA TAIFA KATIKA NYADHIFA NYINGI SANA
TUNATOA POLE KWA RAIS.WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .
MH JOHN POMBE MAGUFULI
BUNGE LA JAMHURI
WATANZANIA WOTE
MKE WATOTO NDUGU NA JAMAA WOTE
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA APUMZIKE KWA AMANI.
TUNAMUOMBEA MWENYEENZI MUNGU AMWEKE PEMA PEPONI
Salma Moshi. Katibu itikadi na Uenezi.
             

No comments: